23 Hiyo ndiyo sehemu zilizopewa ukoo za kabila la Isakari; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Kura ya tano ilizipata ukoo za kabila la Aseri.