Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Yoshua 19:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2-8 Kabila la Simeoni lilipata miji ya: Beri-Seba, Seba, Molada, Hasari-Suali, Bala, Ezemu, Eltoladi, Betuli, Horma, Ziklagi, Beti-Makaboti, Hasari-Susa, Beti-Lebaoti na Saruheni. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake. Vilevile kulikuwa miji ya Aini, Rimoni, Eteri, na Asani. Jumla ya miji mine pamoja na vijiji vyake, pamoja na vijiji vyote vilivyoizunguka miji hiyo mpaka Balati-Beri na Rama ya Negebu. Hiyo yote ni sehemu zilizopewa ukoo za kabila la Simeoni.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Yoshua 19:2
8 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Hivyo, asubui mapema, Abrahamu akatwaa chakula na chupa la maji, akamupa Hagari na kumubebesha mutoto juu ya bega. Akamufukuza pamoja na mwana wake. Hagari akaondoka, akakuwa anatangatanga katika jangwa la Beri-Seba.


Kwa hiyo kisima hicho kikaitwa Beri-Seba, maana wote wawili walifanya kiapo pahali pale.


Kura ya pili ilizipata ukoo za kabila la Simeoni na sehemu yao ya inchi ilikuwa imezungukwa na ile ya kabila la Yuda.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ