Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Yoshua 19:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

17 Kura ya ine ilizipata ukoo za kabila la Isakari.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Yoshua 19:17
8 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Wana wa Lea walikuwa Rubeni, muzaliwa wa kwanza wa Yakobo, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuluni.


“Isakari ni kama punda mwenye nguvu, anayejilaza kati ya mizigo yake.


Eneo linalopakana na kabila la Simeoni kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magaribi litakuwa eneo la kabila la Isakari.


Hata hivyo ugawanyaji wa inchi utafanywa kwa kura. Kila kabila litarizi kulingana na majina ya ukoo wao.


Hiyo ndiyo sehemu zilizopewa ukoo za kabila la Zebuluni miji hiyo pamoja na vijiji vyake.


Eneo lenyewe lilikuwa na miji ya: Yezereheli, Kesuloti, Sunemu, Hafaraimu, Sioni, Anaharati, Rabiti, Kisioni, Ebesi, Remeti, Eni-Ganimu, Eni-Hada na Beti-Pasesi. Vilevile, mupaka wao ulifika Tabori, Sahasuma, Beti-Semesi na kuishia kwenye muto Yordani. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na sita pamoja na vijiji vyake.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ