16 Hiyo ndiyo sehemu zilizopewa ukoo za kabila la Zebuluni miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Ukakusanya miji ya Katati, Nahalali, Simuroni, Idala na Betelehemu. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.
Kura ya ine ilizipata ukoo za kabila la Isakari.