14 Upande wa kaskazini mupaka uligeuka kuelekea Hanatoni na kuishia kwenye bonde la Ifitaheli.
Kutokea Yafia uliendelea upande wa mashariki hata Gati-Heferi, Eti-Kasini, na kuendelea mpaka Rimoni ambako ulipanda kuelekea Nea.
Ukakusanya miji ya Katati, Nahalali, Simuroni, Idala na Betelehemu. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.
Kisha ukageuka kuelekea mashariki kwenda Beti-Dagoni ambako unagusana na Zebuluni na bonde la Ifitaheli. Halafu ukaendelea kaskazini ukafika Beti-Emeki, Neieli na kuzidi kuelekea kaskazini ukafika Kabuli,