Yoshua 18:20 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200220 Muto Yordani ndio uliokuwa mupaka wake upande wa mashariki. Ndivyo zilivyowekewa mipaka inchi zilizopewa ukoo za kabila la Benjamina. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Miji ya ukoo za kabila la Benjamina ni: Yeriko, Beti-Hogla, Emeki-Kesisi, Beti-Araba, Zemaraimu, Beteli, Awimu, Para, Ofura, Kefari-Amoni, Ofuni na Geba. Jumla ya miji kumi na miwili pamoja na vijiji vyake. Gibeoni, Rama, Beroti, Misipa, Kefira, Moza, Rekemu, Iripeli, Tarala, Zela, Ha-Elefu, Yebusi, ni kusema Yerusalema, Gibea na Kiriati-Yearimu. Jumla ya miji kumi na mine pamoja na vijiji vyake. Hiyo yote ni sehemu watu wa kabila la Benjamina na ukoo zao waliyopewa.