Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Yoshua 17:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

3 Lakini Zelofehadi mwana wa Heferi, mujukuu wa Gileadi mwana wa Makiri mwana wa Manase, hakukuwa na watoto wa kiume, lakini alikuwa na wabinti tu nao walikuwa: Mala, Noa, Hogla, Milka na Tirza.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Yoshua 17:3
5 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Yosefu alijaliwa kuwaona watoto na wajukuu wa mwana wake Efuraimu na vilevile kuwapokea kama wana wake watoto wa Makiri mwana wa Manase.


Selofehadi mwana wa Heferi hakupata watoto wanaume lakini wanawake tu, nao ni Mala, Noa, Hogula, Milka na Tirsa.


Mala, Noa, Hogla, Milka na Tirsa walikuwa wabinti za Selofehadi. Naye Selofehadi alikuwa mwana wa Heferi mwana wa Gileadi mwana wa Makiri mwana wa Manase mwana wa Yosefu.


Wengine waliobaki wa kabila la Manase walipewa sehemu yao kwa kura kulingana na ukoo zao. Ukoo hizo zilikuwa zile za Abiezeri, Heleki, Asirieli, Sekemu, Heferi na Semida ambao wote walikuwa wazao wa kiume wa Manase mwana wa Yosefu.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ