Yoshua 17:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Wengine waliobaki wa kabila la Manase walipewa sehemu yao kwa kura kulingana na ukoo zao. Ukoo hizo zilikuwa zile za Abiezeri, Heleki, Asirieli, Sekemu, Heferi na Semida ambao wote walikuwa wazao wa kiume wa Manase mwana wa Yosefu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |