Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Yoshua 17:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

10 Eneo la kusini lilikuwa la kabila la Efuraimu na eneo la kaskazini lilikuwa la kabila la Manase, mupaka wake ukiwa bahari ya Mediteranea kwa upande wa magaribi. Kabila la Aseri lilikuwa upande wa kaskazini-magaribi wa eneo la Manase na la kaskazini-mashariki lilikuwa kabila la Isakari.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Yoshua 17:10
2 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Vilevile katika inchi ya kabila la Isakari na kabila la Aseri, kabila la Manase lilipatiwa miji ya Beti-Seani na Ibuleamu pamoja na vijiji vyake, na miji ya Dori, Eni-Dori, Tanaki na Megido pamoja na wakaaji na vijiji vyake; na sehemu moja ya tatu ya Nafati.


Mupaka huo uliendelea mpaka kwenye kijito cha Kana. Miji iliyokuwa upande wa kusini ya Kana ilikuwa ya Waefuraimu hata ingawa ilikuwa katika inchi ya kabila la Manase. Halafu mupaka ukapita upande wa kaskazini ya kijito Kana na kuishia katika bahari ya Mediteranea.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ