Yoshua 16:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Waefuraimu hawakuwafukuza Wakanana walioishi Gezeri. Wakanana hao waliendelea kukaa kati ya watu wa Efuraimu mpaka leo, wakiwa watumwa wa kuwafanyia kazi za kulazimishwa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |