Yoshua 15:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200218 Katika siku yao ya arusi, Akisa akamwambia Otinieli amwombe Kalebu shamba. Akisa alikuwa amepanda juu ya punda, na alipokuwa anashuka chini, Kalebu akamwuliza: “Unataka nikupe nini?” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |