Yoshua 13:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 ni kusema eneo linalojulikana kama la Wakanana, kuanzia kwenye kijito cha Sihori kwa mupaka wa Misri mpaka kwenye eneo la Ekuroni kule kaskazini. Maeneo yote ya watawala watano wa Wafilistini: Gaza, Asidodi, Asikeloni, Gati na Ekuroni pamoja na eneo la Awini, အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |