Yoshua 10:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200213 Jua likasimama kimya na mwezi ukasimama mpaka taifa la Israeli lilipolipiza kisasi waadui zake. Kama vile ilivyoandikwa katika kitabu cha Yaseri, jua lilisimama kimya katikati ya mbingu, likakatiza safari yake ya kwenda kutua kwa siku nzima. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |