8 Nitawauzisha watoto wenu wanaume na wanawake kwa watu wa Yuda, nao Wayuda watawauzishia watu wa Seba, watu wa taifa la mbali kabisa. –Ni Yawe anayesema hivyo.