19 Misri itakuwa matongo, Edomu itakuwa jangwa tupu, kwa sababu waliwashambulia watu wa Yuda wakawaua watu wasiokuwa na kosa.