Yoeli 2:20 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200220 Nitawaondoa hao waadui wanaotoka kaskazini, nitawafukuza mpaka katika jangwa; waaskari wa mbele nitawatupa katika bahari ya Chumvi na wale wa nyuma katika bahari ya Mediteranea. Watatoa uvundo na harufu mbaya, hao ambao wamefanya maovu makubwa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |