Yoeli 2:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Hiyo ni siku ya giza na huzuni; siku ya mawingu na giza nene. Jeshi kubwa linakaribia kama giza linalofunikia milima. Namna hiyo haijapata kuwa hata kidogo wala haitaonekana tena katika vizazi vyote vinavyokuja. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |