20 Hata nyama wa pori wanakulilia wewe, maana, vijito vya maji vimekauka, moto umemaliza malisho katika mbuga.
Lakini, nyuma ya siku chache kijito kikakauka kwa sababu hakukunyesha mvua katika inchi.
Ahabu akamwambia Obadia: “Labda tutapata majani na pale tutaokoa farasi na nyumbu wetu wamoja.”
Ni nani anayewapa vibombobombo chakula chao, vitoto vyao vinaponililia mimi Mungu, na kurukaruka huku na kule kwa njaa?
simba wakali wananguruma wanapokosa mawindo yao, wanakungojea wewe Mungu uwape chakula chao.
Viumbe vyote vinakutazamia, nawe unavipatia chakula chao kwa wakati wake.
Anawapa nyama chakula chao, na kulisha vitoto vya kibombobombo vinapomulilia.
Walimaji wanahuzunika kwa kuona jinsi udongo unavyokauka kwa ajili ya ukosefu wa mvua.
Manabii waliotangulia mbele yetu, mimi na wewe, zamani za kale walitabiri kwamba vita, njaa na magonjwa makali vitazipata inchi nyingi na tawala kubwa.
Angalia jinsi nyama wanavyolia kwa huzuni! Makundi ya ngombe yanahangaika, kwa sababu yamekosa malisho; hata makundi ya kondoo yanateswa.