34 Mungu aniondolee hiyo fimbo ya kunipiga, na kitisho chake kisinitie hofu!
Utukufu wake hauwatishi? Hamupatwi na hofu juu yake?
Kwa hivyo, ninatetemeka kwa hofu mbele yake; hata nikifikiri tu ninapatwa na woga.
Maana hasara kutoka kwa Mungu ni kitisho kwangu; mimi siwezi kusimama mbele ya ukubwa wake.
Kwa hiyo hauna sababu ya kuniogopa; maneno yangu mazito hayatakulemea.
Kutokana na hayo, moyo wangu unatetemeka, na kuruka kutoka pahali pake.
Niko kama bubu, sisemi kitu, kwa maana wewe ndiwe uliyetenda hayo.
Usiniazibu tena; ninamalizika kwa mapigo yako.
kama wakivunja masharti yangu, na kuacha kutii amri zangu,
Nani anayetambua uzito wa hasira yako? Nani anayeona matokeo ya kasirani yako?