8 Anayeniona sasa, hataniona tena, mara tu ukiniangalia nitakuwa nimetoweka.
Lakini sasa amekufa, kwa nini nifunge? Mimi ninaweza kumurudisha katika dunia? Siku moja, nitakwenda kule alikokwenda, lakini yeye hawezi kurudi kwangu.”
Unanifunga minyororo kwenye miguu, unachunguza njia zangu zote, umeichapa miguu yangu.
Lakini mutu anakufa na ule ndio mwisho wake. Akisha kutoa roho, anabakiliwa na nini tena?
Ee Mungu, kwa nini unajali hata kumwangalia na kuanza kusamba naye?
Atatoweka kama ndoto, asionekane tena, atafutikana kama maono ya usiku.
Aliyemwona, hatamwona tena, wala pale alipoishi hapatatambuliwa tena.
Anakwenda kulala akiwa tajiri, lakini ni mara ya mwisho; atafungua macho yake, na utajiri wake umetoweka!
Maana ningekuwa nimezikwa, kimya; ningelala na kupumzika
Mbona haunisamehe kosa langu na kuniondolea uovu wangu? Hivi kisha muda kidogo nitalazwa chini katika mavumbi. Utanitafuta, lakini sitakuwa tena!
Lakini likiangamizwa kutoka makao yake, hayo yatalikana yakisema: “Sijakuona bado.”
upepo unapovuma juu yake yanatoweka, na mahali yalipokuwa hapaonekani tena.
Kisha nikapita pale, naye hakukuwa tena; nikamutafuta, lakini hakuonekana tena.
Usiniazibu tena; ninamalizika kwa mapigo yako.