13 Nikisema “Kitanda kitanipumzisha, matandiko yangu yatanipunguzia malalamiko yangu”,
Sina amani wala utulivu; sipumziki, taabu imenifikia.
wewe unakuja kunitia hofu kwa ndoto, unanitisha kwa kuniletea maono,
Huko kwa wafu hakuna anayekukumbuka; katika kuzimu ni nani anayeweza kukusifu?
Ninafikiri juu ya Mungu na kuugua; ninamukumbuka na kufa moyo.