5 Punda wa pori analia akiwa na majani, au ngombe akiwa na malisho?
Kwetu kuna majani na malisho ya kutosha na pahali pa kulala kwa wageni.”
Nani aliyemwacha huru punda wa pori? Nani aliyewaacha waende kwa kuwafungua?
Wanatembeatembea katika milima kwa kupata malisho, na kutafuta kitu chochote kinachokuwa kibichi.
Kitu kisichokuwa na onjo kinaweza kuliwa bila chumvi? Sehemu nyeupe ya yai ina utamu wowote?
Unaotesha majani kwa ajili ya mifugo, na mimea kwa matumizi ya mwanadamu kusudi naye apate chakula chake toka udongo:
Kwa mukubwa wa waimbaji. Mashairi ya Wakora.
Punda wa pori wanasimama kwenye vichwa vya vilima vyenye kukauka, wakivuta hewa kama mbweha; macho yao yanafifia kwa ukosefu wa majani.