18 Hakuna upanga unaoweza kumuumiza, wala mukuki, mushale au nguo ya chuma.
Nyota zake za mapambazuko zififie, utamani kupata mwangaza, lakini usipate, wala usione mwangaza wa mapambazuko.
Anapoinuka, mashujaa wanashikwa na woga, kwa pigo moja wanazimia.
Kwake chuma ni laini kama unyasi, na shaba kama muti uliooza.
Nywele zake zilikuwa nyeupe sana kama pamba na kama barafu, macho yake yalimetameta kama ndimi za moto.