7 Ujikaze kama mwanaume. Nitakuuliza, nawe utanijibu.
Uanze kusema maneno yako nami nikujibu. Au mimi nianze, nawe unijibu.
Ujikaze kama mwanaume, nami nitakuuliza nawe utanijibu.
Uliniambia nisikilize nawe utaniambia; kwamba utaniuliza nami nikujibu.