1 Yawe akaendelea kumwambia Yobu:
Halafu Yawe akamujibu Yobu kutoka katika zoruba:
Vitoto vyake vinafyonza damu; pale muzoga unapokuwa ndipo tai anapokuwa.
Wewe mwenye kuchunguza makosa utashindana na Mungu Mwenye Uwezo? Wewe unayebishana nami Mungu, basi ujibu mambo hayo!
Halafu Yawe akamujibu kutoka katika zoruba: