9 Ni nani aliyefunika bahari kwa mawingu na kuiviringishia giza kubwa,
Dunia ilikuwa bila umbo na tupu. Giza lilikuwa limefunika vilindi vya maji na roho wa Mungu alikuwa akitanda juu ya maji.
aliyeiwekea bahari mipaka na kuizuia kwa vifungio na milango
Ni nani aliyefunga mafuriko ya bahari wakati yalipozuka na kuvuma kutoka katika vilindi?
Ni nani aliyepanda juu mbinguni na kushuka chini? Ni nani aliyekamata upepo katika mukono? Ni nani aliyefunga maji katika kitambaa? Ni nani aliyeweka mipaka yote ya dunia? Jina lake ni nani? Na ni nani jina la mwana wake? Uniambie kama unajua!