2 Sikia! Ninafumbua kinywa changu. Ulimi wangu utasema.
Kisha hayo, Yobu akaamua kusema. Akalaani siku aliyozaliwa.
Hapana! Sikuruhusu kinywa changu kusema mabaya juu yake, kwa kumulaani kusudi akufe.
Sasa, Yobu, sikiliza masemi yangu; sikiliza maneno yangu yote.
Nitasema kadiri ya usawa wa moyo wangu; ninayoyajua nitayasema kwa uaminifu.
Nitasema nanyi kwa mafumbo, nitasema mambo yaliyofichwa tangu zamani;
Naye akaanza kuwafundisha akisema: