10 Usiku ule ukuwe hivi, kwa sababu haukufunga tumbo la mama, wala kuficha taabu nisizione.
Hapo mbele Yawe alikuwa amewazuia wanawake wote wa nyumba ya Abimeleki kupata watoto kwa sababu ya Sara, muke wa Abrahamu.
Yawe alipoona kwamba Lea anachukiwa, akamujalia watoto; lakini Rakeli alikuwa tasa.
Ninachukia maisha yangu! Malalamiko yangu nitayasema bila kizuizi. Nitasema kwa uchungu wa moyo wangu.
Hata leo malalamiko yangu ni ya uchungu. Ninapata maumivu na kuugua.
Kwa nini sikukufa nilipozaliwa? Kwa nini kutoka tu katika tumbo sikutoweka?
Nyota zake za mapambazuko zififie, utamani kupata mwangaza, lakini usipate, wala usione mwangaza wa mapambazuko.
Ondoa mahangaiko ndani ya moyo wako, ujikinge usipate maumivu katika mwili kwa sababu ujana na nguvu vinapita mbio.
kwa sababu hakuniua ndani ya tumbo la mama yangu; mama yangu angekuwa kaburi langu, mimba yake ingekuwa ya siku zote.
Elekana alimupa Hana fungu kubwa la nyama ya sadaka kwa sababu alimupenda sana ingawa Yawe hakumujalia watoto.