9 Mwanadamu anachimbua mawe magumu kabisa, anachimbua milima mpaka kwenye misingi yake.
Anapasua mifereji kati ya mawe makubwa, na jicho lake linaona mawe ya bei kali.
Nyama wakali hawajaikanyaga wala simba mwenyewe hajapita ndani yake.
Yeye anahamisha milima bila yenyewe kutambua, anaipindua mbali kwa hasira yake.