Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Yobu 20:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

9 Aliyemwona, hatamwona tena, wala pale alipoishi hapatatambuliwa tena.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Yobu 20:9
8 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

atatupiliwa mbali kama mavi yake. Waliopata kumujua watajiuliza: “Yuko wapi?”


ninaapa kwamba kadiri ninavyoweza kupumua, roho ya Mungu ikiwa bado ndani yangu,


Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi, wanamusahau mara moja.


Anayeniona sasa, hataniona tena, mara tu ukiniangalia nitakuwa nimetoweka.


Lakini likiangamizwa kutoka makao yake, hayo yatalikana yakisema: “Sijakuona bado.”


Bado kidogo, mwovu atatoweka; utamutafuta pale alipokuwa, wala hautamwona.


Kisha nikapita pale, naye hakukuwa tena; nikamutafuta, lakini hakuonekana tena.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ