8 Au uulize mimea nayo itakufundisha; sema na samaki nao watakuarifu.
Mungu akafanya aina zote za nyama wa pori, nyama wa kufugwa, na viumbe vinavyotambaa. Mungu akaona kwamba ni vizuri.
Lakini uulize nyama nao watakufundisha; uulize ndege nao watakuambia.
Nani kati ya viumbe hivyo, asiyejua kwamba Yawe ametenda yale?