Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Yobu 10:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

5 Siku zako ni kama za mwanadamu? Miaka yako kama ya mwanadamu?

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Yobu 10:5
8 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Kwa nini unachunguza uovu wangu na kuitafuta zambi yangu?


Mungu ni mukubwa sana hata hatuwezi kumujua; muda wa maisha yake hauchunguziki.


Maisha yangu ni kama kivuli cha magaribi; ninanyauka kama majani.


Lakini wewe unabaki sawasawa, na maisha yako hayana mwisho.


Utavikunjakunja kama kanzu, navyo vitabadilishwa kama nguo. Lakini wewe utabaki sawasawa, na maisha yako hayatakuwa na mwisho.”


Lakini wapendwa wangu, kuna jambo moja musilopaswa kusahau: ni kwamba mbele ya Bwana, siku moja ni kama miaka elfu moja na miaka elfu moja ni kama siku moja.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ