Yobu 1:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Alikuwa na mali, kondoo elfu saba, ngamia elfu tatu, ngombe elfu moja, punda dike mia tano, na watumishi wengi sana. Yeye alikuwa wa heshima kuliko watu wote kule upande wa mashariki. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |