Yobu 1:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Yule naye alipokuwa hajamaliza kusema, mwingine akafika, akasema: “Wakaldea walijipanga makundi matatu, wakashambulia ngamia, wakawatwaa, na wakaua watumishi wako kwa upanga! Ni mimi tu peke yangu nimepona kwa kuja kukuletea habari.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |