Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Yoane 9:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

6 Yesu alipokwisha kusema vile, akatema mate chini, akayavuruga pamoja na mavumbi na kufanya matope kidogo, akayapakaa kwa macho ya yule kipofu

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Yoane 9:6
5 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Hapo vipofu wataona tena, na viziwi watasikia tena.


Basi Yesu akamwondoa yule mutu kati ya kundi, akaenda naye mbali kidogo, akamutia vidole ndani ya masikio, akatema mate na kumugusa ulimi kwa mate yale.


Yesu akashika mukono wa yule kipofu na kumupeleka inje ya kijiji. Yesu alipokwisha kupakaa mate kwa macho ya mutu yule na kuweka mikono juu yake, akamwuliza: “Unaona kitu?”


Akajibu: “Mutu yule anayeitwa Yesu alifanya matope kidogo na kuyapakaa kwa macho yangu, na kuniambia kwamba niende kunawa uso katika kisima cha Siloamu. Nami nikaenda, nikanawa, na halafu nikapata kuona.”


Kwa hiyo ninakushauria kununua kwangu zahabu iliyosafishwa kwa moto, kusudi upate kuwa tajiri. Vilevile ununue nguo nyeupe, upate kuvaa na kufunika uchi wako unaokuletea haya. Tena ununue dawa ya kutia ndani ya macho yako, kusudi upate kuona.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ