15 Kwa hiyo Wafarisayo nao wakamwuliza namna gani alivyopata kuona. Naye akawaambia: “Alinipakaa matope kidogo kwa macho, nami nikanawa uso na sasa ninaona.”
Kisha wakamwuliza Baruku: Basi utuambie, umepata namna gani kuandika maneno haya yote? Yeremia alisema, nawe ukayaandika?
Wafarisayo wakamwuliza tena yule aliyekuwa kipofu: “Na wewe unasema nini juu ya yule aliyekuponyesha macho?” Akajibu: “Yeye ni nabii.”