57 Halafu Wayuda wakamwambia: “Wewe haujaeneza umri wa miaka makumi tano, nawe umemwona Abrahamu?”
Huu ndio ushuhuda wa Yoane kwa makuhani na Walawi waliotumwa na Wayuda kutoka Yerusalema kumwuliza kwamba yeye ni nani.
Yesu akawajibu: “Kweli, kweli ninawaambia: mbele Abrahamu hajazaliwa, mimi nilikuwa niko.”