Yoane 8:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Yesu akawajibu: “Hata nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu ni wa kweli, kwa sababu ninajua pahali nilipotoka na pahali ninapokwenda. Lakini ninyi hamujui pahali nilipotoka wala pahali ninapokwenda. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |