Yoane 7:22 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200222 Ninyi munatahiri watu hata kwa siku ya Sabato kwa sababu Musa aliwatolea ninyi amri ya kutahiri, (kwa hakika haikutoka kwa Musa, lakini kwa babu zenu). အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Halafu Mungu akafanya agano na Abrahamu, na kitambulisho cha kuhakikisha kwamba limeshikwa kilikuwa kutahiriwa. Kwa hiyo Abrahamu akamutahiri mwana wake Isaka alipotimiza siku nane za kuzaliwa. Naye Isaka akamutahiri mwana wake Yakobo, na Yakobo akawatahiri wana wake kumi na wawili waliokuwa babu zetu wakubwa.