Yoane 6:60 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200260 Wengi kati ya wanafunzi wake waliposikia maneno haya, wakasema: “Masemi haya ni magumu. Ni nani anayeweza kuyakubali?” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Ni vile ndivyo alivyoandika katika barua zote alimosema ndani yao juu ya mambo yale. Lakini ndani ya barua zile kunakuwa mambo mengine magumu kuyasikia. Na watu wajinga na wasiokamilika wanageuzageuza maana yake sawa vile wanavyogeuza sehemu zingine za Maandiko Matakatifu. Kwa njia ile wanajiangamiza wenyewe.