3 Yesu akapanda kwenye kilima, na kuikaa kule pamoja na wanafunzi wake.
Kisha kuagana nao, akapanda kwenye kilima peke yake kwa kuomba. Na giza lilipoingia, alikuwa angali kule peke yake,
Yesu akaondoka kule, akapita pembeni ya ziwa la Galilaya. Kisha akapanda kwenye kilima, naye akaikaa pale.
Yesu alipoona yale makundi ya watu, alipanda kwenye kilima. Alipokwisha kuikaa, wanafunzi wake wakamujongelea.
Kisha Yesu akapanda juu ya kilima, akawaita watu aliowataka mwenyewe, nao wakakuja kwake.
Ilipotimia karibu siku nane nyuma ya pale Yesu aliposema maneno hayo, yeye akawatwaa Petro, Yakobo na Yoane, akapanda pamoja nao kwa mulima kwa kuomba.
Wakati Yesu alipotambua kama walitaka kuja kumutwaa kwa nguvu na kumuweka kuwa mufalme, akaondoka na kwenda tena kwa kilima peke yake.