Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Yoane 6:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

18 Ziwa likaanza kuchafuka sana; kwa sababu upepo ulikuwa ukivuma kwa nguvu.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Yoane 6:18
5 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Aliamuru, akavumisha zoruba kali, ikarusha juu mawimbi ya bahari.


Analeta mawingu kutoka miisho ya dunia, anapiga umeme na kunyesha mvua, anavumisha upepo kutoka gala zake.


lakini chombo kilikuwa kimekwisha kufika mbali sana na inchi kavu, kikirushwarushwa na zoruba, kwa maana upepo ulikuwa ukitokea mbele.


Wakaingia ndani ya chombo, wakaanza kuvuka ziwa kwa kwenda Kapernaumu. Giza lilikuwa limekwisha kuwa, na Yesu alikuwa hajarudi kukutanana nao.


Walipofika umbali wa kadiri ya kilometre tano au sita, wakamwona Yesu anakaribia chombo, akitembea juu ya maji; kwa hiyo wakaogopa.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ