10 Yesu akasema: “Muwaambie watu waikae chini.” (Pale kulikuwa majani mengi.) Basi wakaikaa chini; na hesabu ya wanaume tu ilikuwa yapata elfu tano.
Hesabu ya watu waliokula ilikuwa yapata wanaume elfu tano, pasipo kuhesabu wanawake na watoto.