Yoane 5:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200218 Kwa ajili ya neno hili Wayuda walitaka tena zaidi kumwua; si kwa sababu ya kuvunja Sheria ya siku ya Sabato tu, lakini vilevile kwa sababu alisema kwamba Mungu ni Baba yake, akijifanya hivi kuwa sawasawa na Mungu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |