Yoane 21:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Halafu mwanafunzi yule aliyependwa na Yesu akamwambia Petro: “Ni Bwana.” Simoni Petro aliposikia kwamba ni Bwana, akavaa kanzu yake (kwa maana alikuwa havai kitu), naye akajitupa ndani ya maji. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |