Yoane 21:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200223 Basi habari hii ikaenea kati ya wandugu waamini wa Yesu kwamba yule mwanafunzi hatakufa. Yesu hakusema kama hatakufa; lakini alisema: “Ikiwa ninataka huyu aishi mpaka nitakapokuja, jambo hili halikuangalii.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |