5 Yeye akainama na kuchungulia ndani yake, akaona vitambaa vimewekwa pembeni, lakini hakuingia.
Halafu yule marehemu akatoka inje, akiwa amefungwa mikono na miguu kwa vitambaa, na uso wake ukifunikwa na nguo. Yesu akawaambia: “Mumufungue, mumwache ajiendee.”
Wote wawili wakatwaa maiti ya Yesu, wakaifunga na vitambaa vyenye kupakaliwa mafuta zenye harufu nzuri sawa na desturi za maziko za Wayuda.
Maria alikuwa akisimama inje karibu na kaburi, akilia. Alipokuwa akilia, akainama na kuangalia ndani ya kaburi,
Wakaenda mbio wakikimbia wote wawili pamoja, lakini yule mwanafunzi alikimbia mbio zaidi kuliko Petro, akamutangulia kwenye kaburi.
Kisha Simoni Petro akafika nyuma yake na kuingia ndani ya kaburi. Akaona vitambaa vimewekwa pembeni,