3 Basi Petro na yule mwanafunzi mwingine wakaondoka na kwenda kwenye kaburi.
Lakini Petro alisimama, akaenda mbio mpaka kwenye kaburi. Alipoinama kuchungulia ndani yake, akaona tu vile vitambaa. Kisha akarudia kwake, akishangaa kwa ajili ya mambo yaliyotokea.
Wakaenda mbio wakikimbia wote wawili pamoja, lakini yule mwanafunzi alikimbia mbio zaidi kuliko Petro, akamutangulia kwenye kaburi.