Yoane 20:25 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200225 Wanafunzi wengine wakamwambia: “Tumemwona Bwana.” Lakini Toma akawajibu: “Nisipoona alama za misumari katika mikono yake na kutia kidole changu katika kovu za misumari ile, nami nisipoingiza vidole vyangu ndani ya ubavu wake, sitaamini.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |