Yoane 20:15 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200215 Yesu akamwuliza: “Mama, kwa sababu gani unalia? Unamutafuta nani?” Maria akizani kwamba ni mulimaji wa bustani, akamwambia: “Bwana, kama ni wewe uliyeondoa maiti yake, uniambie pahali ulipoiweka, nami nitakwenda kuitwaa.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |